Waziri wa mambo ya ndani wa Uturuki Süleyman Soylu katika kitongoji cha Midyat amewatakia waislamu na wakaazi wa eneo hilo Ramadhani njema na kuwafahamisha kuwa serikali itapambana vilivyo na ugaidi.
Vile vile aliwatakia askari walinda usalama Ramadhani njema na kuwataka kulinda vema usalama wa raia.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment