Ligi kuu bara yapata pigo, Muasisi wake afariki Dunia
Na Mahmoud Zubeiry wa Binzubeiryonline
MUASISI
wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Mzee Chabanga Hassan Dyamwale
amefariki dunia asubuhi ya leo katika hospitali ya Muhimbili, Dar es
Salaam alipokuwa amelazwa kwa…Read More
New Vide: Birthday boy fid q - Fresh
Akiwa bado anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa leo hii, mwanamuziki Fid Q, awali aliachia audio ya wimbo wake wa Ulimi Mbili aliowashirikisha Maua sama , Hard Mad na Nuruelly, muda huu sasa ameachia video ya wimbo u…Read More
Chid Benz Akamatwa tena na dawa za kulevya
Jeshi la polisi
Mkoa wa Ilala, limewakamata watu saba akiwemo msanii wa muziki wa kizazi
kipya, Rashid Makwiro maarufu kama ‘Chid Benz’ kwa tuhuma za kukutwa na
dawa za kulevya aina ya Heroine.
Kamanda wa Poli…Read More
Tshitimbi asaini miaka miwili Yanga
HATIMAYE
kiungo Papy Kabamba Tshishimbi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
(DRC), leo amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na mabingwa wa
Tanzania, Yanga SC.
Mchezaji
huyo alikuwa nchini wiki iliyopita…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment