July 10, 2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. John Pombe Magufuli, leo 11July 2017 amefanya uteuzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa T R A kwa kumteua Pro. Florens Luoga iyo. Prof. Luoga anashikla nafasi ya Bw. Benard Mchomvu ambaye bodi yake ilivunjwa na uteuzi wake kutenguliwa. Prof. Luoga ni naibu makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Taaluma.

Uteuzi wa Pro. Luoga unaanza Mara Moja

Imetolewa na 
Gerson Msigwa
Mkuirugenzi mawasiliano wa Rais Ikulu
Chato Geita
11 July 2017

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE