YALIYOJILI SERENGETI FIESTA 2013 MWANZA NI HAYA
Zao la Fiesta super Nyta 2013 Neylee, ambaye kwa sasa anafanya vyema sana kwenye
anga ya muziki huo,akiimba kwa hisia mbele ya mashabiki wake serengeti fiesta Mwanza
sehemu
ya mashabiki …Read More
..AGNESS MASOGANGE:NIKIRUDI TANZANIA SITAKI MAPOKEZI
Mtanzania Agnes Gerald, maarufu
Masogange, ameachiwa huru na Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg,
baada ya kulipa faini ya R30,000 (Sh4.8 milioni) kwa kosa la kubeba
kemikali zinazotumika …Read More
MISS WORLD 2013 NI MEGAN YOUNG TOKA PHILIPPINES
Huku Tanzania ikiendelea kusuasua kila mwaka wa mashindano ya Miss
World, mrembo wa Philippines Megan Young.
Megan ,23, ametwaa taji hilo licha ya maandamano makubwa
yaliyofanywa na waislamu wakipinga kufanyika kwa …Read More
KUMBE WEMA SEPETU NA DIAMOND WALIKUTANA .....
Wema
Sepetu alizaliwa tarehe 28 September . Taja
wasichana wote wa Bongo Movies wanaotamba Tanzania, usipoliweka jina la
Wema Sepetu orodha haijakamilika. Wema Sepetu ni supastaa asiyefutika
kwenye vichwa vya habari v…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment