Kwa wale walioanza game kitambo, hawatamsahau mtu anayeitwa Fanani wa uhakika, alikuwa member wa Hard Blasters akiwa na kina Niga JAY na Big Willey. Nash Mc, ameachia wimbo unaitwa Shule ya zamani, hapa amemtafuta Fanani na akaamua kumshirikisha. Jamaa bado yupo aisee. Skia walichokifanya
Download hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment