MWANAUME KAMA HUJUI KUTUNZA UTABA KUITAGA SHEMEJI
Sasa leo nataka niseme kitu kimoja kwenu wanaume,
Mwanamke mzuri anahitaji pesa jamani,usitegemee utampata mwanamke mzuri
kwa sasa hivi kama hauna mkwanja mrefu,hilo sahau kabisa,
Vinginevyo …Read More
HAPPY BIRTHDAY 2 YOU DIDA FACION
Leo Th 23 may 2014 ni siku ya kuzaliwa dada yetu mpendwa na mdau wa burudani DIDA FACION.
ubalozini.blogspot.com inaungna na Familia ya Dida katika siku hii muhimu kukutakia Maisha marefu yenye kheri na baraka t…Read More
USIKU WA MANGWEA MOROGORO, KIMENUKA (love concert)
Kuelekea maadhimisho ya Tamasha maalum la kumkumbuka mfalme wa FREE STYLE Tanzania Marehemu Albert Mangwe, baadhi ya maeneo ya Mjini Morogoro tayari kishanuka. Katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyi…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment