
Kama ilivyo kawaida ya FIESTA, huambatana na matukio mbalimbali ya Kitaifa, Kwa mkoa wa Tabpora watasherehekea Fiesta siku ya Ijumaa 01 Oct .Geah Habib alipata nafasi ya kutembelea nyumbani kwa Hayati Spika wa Bunge la tisa - Samuel SITTA, na kukutana na mama mzazi wa marehemu Sitta, Zuwena Said Fundikira.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment