October 18, 2017

Hali ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, imezidi kuimarika baada ya leo kutoa sauti yake akiongea na jamii kwa jumla na kuwaomba wazidi kumuombea. Lissu akiwa Hospitali nchini Kenya ametoa kauli hii . Bofya Video hapa chini ili kumsikia


                 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE