Aliyekuwa kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Profesa Kitila Mkumbo amejiunga na
Chama cha Mapinduzi (CCM), taarifa ya Prof. Mkumbo kujiunga CCM
imetolewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata.
Kubenea asema "Dk. Slaa... uvumivu umenishindaSaed KubeneaKatika taarifa yake kwa Mwanahalisi Online, Saed Kubenea, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd (HHPL) wachapishaji gazeti la MwanaHALISI, (ambaye amechimba kwa undani sakata la Richmon…Read More
Stars, Nigeria hakuna mbabeBeki wa Nigeria, William Ekong akibinuka tik tak dhidi ya mshambuliaji wa Tanzania, John Bocco katika mchezo wa leo
Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta akimhadaa beki wa Nigeria, Solomon Kwambe
Mshambuliaji w…Read More
New Audio |Koba __ Zawadi | Download & Listen
Huu ni wimbo mpya wa Koba, unaitwa Zawadi. wimbo umefanywa na GQ wa Digital Vibes Morogoro pamoja na Mazuu Records za Jijini Dar Es Salaa.Wimbo upo katika maadhi ya mziki wa asili kabisa ya kitanzania, Mchiriku
…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment