January 05, 2018


Kwa wale wazee wa sasa , vijana wa zamani, naamini kabisa huwa mnapousikia huu wimbo hasa katika kipindi hiki cha Mwaka mpya , huwa mnakumbuka mbali sana. Ndiyo ni wimbo wenye hisia sana , kwa upande wangu binafsi japo sikuwepo enzi unatoka , ila nimeujua na kuuelewa sana . Ni wimbo ulioimbwa na Hamza Kalala akiwa na Bantu Group miaka hiyo. Unaitwa Tufurahi na mwaka mpya

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE