January 20, 2018

Image result for Mr. Blue - Mbwa Koko

Mr. Blue, babilon bayser Beez yote hayo ni majina yake. Leo 20 January 2018 ameachia video ya wimbo wake mpya kabisa na wa kwanza kwa mwaka huu. Wimbo unaitwa Mbwa koko na umefanyika katika studio za Touch Sound chini ya Producer Mr. T. na Video imefanywa na Dr, Eddy.

Bofya hapa chini kuitazama

                   

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE