MFALME SELE
Mfalme wa Rhymes nchini Tanzania ktk nynja ya bongo freva Afande Sele, king Suleiman, baba tunda, simba zee. amempngeza msanii mwenzake wa bongo fgreva Roma Mkatoliki kwa kubeba tuzo mbili kaika kili music award 2011-2012 . Sele amesema anampongeza kwa kutwaa tuzo hizo kutokana na ukweli wa kazi zake.
" nampongeza mdogo wango roma kwa kubebe tuzo mbili ya wimbo bora wa hip hop na mwana hip hop bora" amesema sele kwa upande mwingine ameonekana kuzikosoa tuzo hizo za kili zinazolatibiwa na BASATA na kudhaminiwa na kampuni ya bia Tanzania kupitia bia yake ya kilimanjaro. Kwa kweli mi huwa sizielewi izi tuzo, "wameshindwa kumpa hata mdogo Belle 9, nani kama belle, bele amefanya kazi kibao na zenye ku hit, izi tuzo wanapeana wenyewe wanaoishi Dar, angalia kuna msanii gani wa kike aliyetamba zaidi ya Dayna, Dayna amefanya vizuri sana na anazidi kufanya vyema, lakini ona ndiyo maana mimi niliamua kukataa kushirikishwa kwenye tuzo zao, sisi wa mikloani hazituhusu hasa Morogoro" amesema sele
Kwa upande wa ubunge Sele amesema endapo ataona mamnbo yanakwenda ndivyo sivyo itamlazimu kugombe ubunge. amesema ubunge ni wito na sio uheshimiwa ispokuwa ni sehemu ya uwakirishi wa mawazo ya wananchi, sas mbunge akijifanya muheshimiwa, yeye ndiyo bosi, hawatumikii waliomchagua yuko ladhi kuwania nafasi hiyo bila kuweka wazi kupitia chama gani. kuhusu kesi yake amewatoa shaka wananchi wasiwe na wasi kesi inaenda vizuri na ushirikiano na mahakama ni mzuri.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment