May 30, 2012


Mahjaji katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC wamemuhukumu kifungo cha miaka 50 jela Raisi wa zamani wa Liberia baada ya kukutwa na makosa 11 ya kuwasaidia waasi wa Siera leon na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 50,000 kwa kuwapa silaha na kubadilishana na almasi.Taylor amekuwa ni raisi wa kwanza kuhukumiwa na mahakama hiyo tangu vita vya pili vya dunia na atatumikia kifungo hicho katika gereza la uingereza.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE