FA AFUNIKA MBAYA
AFANDE SELE ADHIHIRISH UKONGWE WAKE AKINUKISHA NOMA
DAYNA AWAKALISHA LINAH, RACHEL

Hapa mwana dada DAYNA NYANGE a.k.a mkali wao akiingia katika jukwaa la fiesta Jamhuri Stadium kwa style ya pekee kabisa. Dayna alikata kiu ya mashabiki wake mjini hapa. baada ya kufanya show ambayo haijawahi kutyokea.

Mkali wao Dayna akifanya vitu vyake bdani ya uwanja wa jamhuri usiku wa jana katika jukwaa la fiesta 2012 bhaaaassss

Baadhi
ya wasanii nyota wa Filamu hapa nchini wakiwashukuru wakazi wa
Morogoro kwa namna moja ama nyingine na kuwakubali vilivyo katika fani
ya uigizaji.

Dj Ben a.k.a JB akimtunza hela msanii wa kundi la OriginalComedy,Mpoki,kulia kwake ni Ray akiwahamasisha mashabiki

Msanii
mwingine mahiri katika fani ya filamu Ray Kigosi akicheza sebene mbele
ya umati mkubwa wa wakazi wa Morogoro na vitongoji vyake
waliojitokeza kuwashuhudia wasanii mbalimbali wakitumbuiza
kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2012.

Msanii
nyota wa Filamu hapa nchini Wema Sepetunaye alikonga nyoyo za mashabiki siku hiyo

Msanii
muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Recho akiimba kwa hisia jukwaani
kwenye tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa
Jamhuri,mjini Morogoro

Pichani
kulia ni Ofisa Mahusiano wa kampuni ya Clouds Media Group,Simalenga
akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh Joel Bendera ambaye ni
mgeni rasmi usiku wa jana ndani ya uwanja wa Jamhuri,wakati tamasha la
Serengeti Fiesta 2012

Mkali wa Supa Nyota,Jo Meka akikamua jukwaani.

,Dj Zero kazini

Momba naye hakuwa nyuma

Wadau mbalimbali wa tamasha la Fiesta wakifuatilia burudani kwa ukaribu

Mpoki akiwa na wadau

Ni burrudani tu ndani ya muonekano mpya wa tamasha la serengeti fiesta 2012.

Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka mjini Morogoro akitumbuiza usiku huu kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2012

Msanii
chipukizi kutoka nyumba ya vipaji,THT,Alini Nipishe akiimba na shabiki
wake jukwaani

Ommy Dimpoz pichani kati sambamba na kundi lake wakitumbuiza kwenye jukwaa la Fiesta usiku huu.

kivazi cha wema sepetu haibu tupu.

Wakazi
wa Morogoro wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa
Jamhuri,ambako ndiko tamasha la Serengeti Fiesta 2012 lilipofanyika
0 MAONI YAKO:
Post a Comment