DIVAPICHANI
Kundi la Wasanii wanaotokea Tanzania House of Talent T.H.T, Mwezi huu wataungana pamoja na mwana dada na mtangazaji wa Clouds fm anayefahamika kwa jina la Diva Loveness katika mpango wake aliounzisha wa kuwasaidia watoto wanaoishi katika vituo maalu.
Taarifa toka katika blog ya dva inasema wasanii hao wameamua kuungana naye, katika kuhadhimisha miaka kadhaa ya kundi hilo.
Baadhi ya picha za wasanii wa T.H.T wakiwa na Usher Raymond
Katika mtandao wa Diva ameandika
DIVA GIVING FOR CHARITY NI 9/12/2012 PALE ALMADINA CHIDREN HOME TANDALE
Kituo Kina Ongozwa na Kuendeshwa na Bi.Kuruthum Yusuph Juma ana Miaka 53 na Ni Mtu wa Mafia ila Hapo Amepanga na analipia mil3 kwa Mwezi na Sehemu ni ndogo sana na Mazingira Ni Magumu sana ,Kuna Watoto 52 ambao ni yatima , Wanaume 24 na Wanawake 28 kuna watoto waliomaliza Darasa la 7 ni 5 na wanatakiwa kwenda sekondari, waliokuwepo Msingi ni 33 , sec 8, na waliobaki wote ni wadogo hawajaanza haa chekechekea.
Mahitaji.
Mahitaji yote muhimu anayohitaji mtoto.
Muhimu Ni Kuchangia na unachangia vipi ni tigo Pesa 0655 879287 kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana nami kwa email ya morales.gissele@yahoo.com
Ntaongozana na THT Ambao nao wanatimiza Miaka kadhaa ya THT Yaani Birthday yao na watatoa 20 Percent yao kusaidia katika Diva Giving for Charity kwa ajili ya watoto hao,Thanks to My Boss Ruge Mutahaba kwa Moyo huo na wewe pia unaweza kufanikisha hili.
The Diva Herself Loveness Love explains her reasons for starting the Movement, “When I was young and I would watch television and I would see all the children suffering, I always said: when I grow up, I want to help.”
From taking time out for little acts of kindness her commitment to helping children has extended to becoming a 'Ambassador at New life Orphans Home Kigogo.
KUTOA NI MOYO NA SIO UTAJIRI.
Thanks...
Diva

Ziara ya kwanza ya Mpango wa kusaidia watoto wa Diva
0 MAONI YAKO:
Post a Comment