December 04, 2012


Kuserebuka kama hivi pia kulikuwepo  .
 
  Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiwakaribisha wageni wake,akiwemo mwanamuziki nyota wa dansi ndani ya kundi la Wenge BCBG,kutoka nchini DRC-Congo,JB Mpiana (pichani kati) kwenye hafla fupi ya chakula cha usiku iliyofanyika kwenye kiota cha maraha cha Escape 2,kilichopo Kunduchi jijini Dar,hafla hiyo pia ni sehemu ya muendelezo wa shamra shamra za maadhimisho ya miaka 13 ya Clouds FM tangu kuanzishwa kwake hapa nchini.
 
 Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiwakaribisha wageni wake na kuzungumza nao machache na kuhakikisha wanapatiwa chochote kitu.
 
 
 Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akimtambulisha mke wake Johayna Kusaga  (ambaye ndiye Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Prime Time Promotions Ltd) kwa Mwanamuzik JB Mpiana na kwa wageni wengine waliofika kwenye hafla hiyo ya chakula cha pamoja.
 
 Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akimkaribisha mgeni wake JB Mpiana kwenye chakula
 Pichani ni baadhi ya Washiriki wa shindano la Miss East Afrika  2012 ambao pia waliakwa kwenye chakula cha pamoja ndani ya kiota cha maraha cha Escape 2,kilichopo Kunduchi jijini dar.
 Washiriki wa shindano la Miss East Afrika wakiwa katika picha ya pamoja
 
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Cassim akitumbuiza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali 
 
  Dj Venture alikamata mashine kwa mashine

 Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012 wakijiachia vilivyo kwa mikato ya ngoma iliokuwa ikiangushwa na Dj Venture.
 Joseph Kusaga a.k.a Boss JOe akizungumza na baadhi ya wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Ay na Mwana FA ndani ya hafla fupi ya chakula cha usiku kulichoandaliwa kwa ajili ya wageni.
 
Wasiwasi Mwabulambo akifurahi jambo, kushoto kwake  ni Ephraim Kibonde
 Mtangazaji wa Clouds TV,Ben Kinaiya akiwa  na  Ndanda Cossovo
 
 Dj Venture na mshkaji wake wakivuta pumzi.
 
 Mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time promotios,pichani kulia Godfrey Kusaga akibadilishana mawazo na Mtangazaji mahiri wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM,Ephrahim Kibonde huku wakiangusha moja moja.

Related Posts:

  • Vigodoro, baikoko marufuku BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeanza kung’ata kwa kutumia kanuni ili kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa kelele na mitetemo. Kwa sasa mtu akitaka kufanya sherehe mtaani, kupiga muziki k… Read More
  • Kilichotokea Escape one katika show ya kuukaribisha mwaka 2016 Msanii Chemical ndiye aliyefungua pazia la burudani pande za Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016. Watu mbalimbali waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016. Msanii Matonya akiwapa burudani mashabiki waliofika Escap… Read More
  • Diva wa clouds afunguka kila kitu ndani ya mkasi   Kama ulipitwa na kipindi hiki, mtangazaji mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni katika kipindi cha mahusiano cha Ala za roho cha clouds Fm, Diva Gissele Malinzi @Divathebawse amefunguka kila kitu alichokuwa ana… Read More
  • Kilichoandikwa katika magazeti ya leo hii ni hiki hapa Leo January 2, 2016 tumekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea. Pitia katika meza ya magazeti iliyo karibu nawe . . . . . . . … Read More
  • Diamond abeba tuzo nyingine Nigeria SHARE S2016 mwaka mwingine unaoanza vizuri kwa muziki wa Bongofleva wenye mizizi yake Tanzania ambapo usiku wa January 01 2016 zimetolewa Tuzo za HEADIES Awardsndani ya Lagos Nigeria. List ka… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE