![]() |
CHRISS WAMARYA |
Msanii wa muziki wa kizazi kipya toka Morogoro Chriss wamarya , amesema sasa anashawishika kuachia wimbo wake mpya alioufanya katika studio ya AM Record. Akiandika katika ukurasa wake wa facebook na baadaye kuzungumza na blog hii Chriss amesema baada ya kuwa kiya kwa muda sasa ameona ni vizuri kuuanza mwaka na wimbo wake mpya. Chriss ambaye alitamba na nyimbo zake kama Sinyoritha, Km sita, Tutoke nk amewaomba wadau wa mziki waweze kumsapot katika hilo
'' mambo vp friends nashawishika kuachia wimbo wangu unaoitwa rudi ambao umefanyika studio za am recods ivyo naomba support zenu wadau wa blog redio na vyombo vyote vya habari kama mulivyo support kilomita 6 tutoke na zinginezo''. Amwsema Chriss
0 MAONI YAKO:
Post a Comment