
HUU NI UZINDUZI WA ALBAM YA MSANII KALA JELEMIAH IITWAYO PASAKA AMBAYO M,WANA DADA ANAYEKIMBIZA SANA KWA SASA DAYNA NYANGE MKALI WAO NA KITALE RAIS WA MATEJA WAKIMSINDIKIZA KWA UKARIBU ZAIDI
MAHALI - VILLA PARK
SIKU - IJUMAA
KIINGILIO--Tsh: 5000/=
MUDA - SAA MBILI USIKU MPAKA PAKUCHEE
UNATAKA NINI SASA MTANI WANGU????? UZA NG'OMBE WEKA HESHIMA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment