April 19, 2012

DAYNA NYANGE a.k.a mkali wao

Baada  ya  kukosa  tuzo  hata  moja  katika  mashindano  ya  Tanzania Kili  Music award  2012,  mshiriki  wa  tuzo  hizo  katika  Category  tatu mdada  toka  Mji  Kasoro  Morogoro  Dayna  Nyange  amesema  sasa  anaamua  kuwapa  zawadi  mashabiki  ya  wimbo  wake  mpya  kama  sehemu  ya  shukrani, msanii  huyo  aliyasema  hayo  katika  ukurasa  wake  wa  FACEBOOK huku  akiwaaidi kuwa  muda  mfupi  wimbo  huwo  utakuwa  hewani . 
''Habari! Ahsanteni sana mashabiki wng mlionipigia kura bila kusahau vyombo vyote vya habari na yeyote alie nisuppot kivyovyote. Hatua kwa hatua tutafika2! Ahadi yng kwenu iko pale pale tegemea kusikia ngoma mpya ya mkali wao soon! One lov'' amesema  Dayna

Related Posts:

  • TAARIFA ZA KIFO CHA AMINA NGALUMA   Amina Ngaluma ni miongoni mwa waimbaji ambao waliipa umaarufu bendi ya African Revolution ‘Tam tam’ kupitia wimbo wa Mgumba na baadae kujiunga na bendi ya Double M Sound,kupitia ukurasa wa Amina Ngaluma wa Facebook… Read More
  • SHEKH ISSA BIN PONDA ARUDISHWA RUMANDE Kiongozi wa Taasisi ya Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ameendelea kusota rumande baada ya kesi yake kuahirishwa kwa mara nyingine kwa kuwa jalada la kesi yake, halijarudi kutoka Mahakama Kuu Kanda ya … Read More
  • MUME AMKATA MKEWE SEHEMU ZA SIRI   Mkazi wa Mtaa wa King’azi, Mbezi Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam (jina tunalihifadhi), amejeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwamo kukatwa sehemu za siri na mumewe kwa kile kinachodaiwa kuwa n… Read More
  • [EXCLUSIVE] DIAMOND AONGELEA BET NOMINATION 2014    Taarifa za kuchaguliwa kwa Diamond katika tuzo za BET zimemkuta akiwa jijini London, na akiwa huko ameongea na Jestina George kuhusu furaha aliyonayo          &n… Read More
  • HAPPY BIRTHDAY 2 U DAYNA NYANGE    LEO    AMEZALIWA  MSANII WA  MUZIKI  WA  BONGO  FREVA  TOKA  MKOANI  MOROGORO, MWANA  DADA  MWANAISHA  BAKARI  ( dayna  n… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE