
Linex
Mwanamuziki toka mkoani Kigoma, makli wa sauti na mashairi Linex Sunday, ameweka wazi sababu iliyomfanya mpaka akakataa kuimba wimbo wa Salam zao wa Nay wa Mitego. Kupitia A/C ya Facebook Linex am,efunguka
18 hours ago via mobile
Wimbo
mpya wa ney wa mitego salaam zao mi ndo nilitakiwa kufanya chouras but
sikufanya coz mashairi yake yalikua mazito na yananidiss had mm so
nikaona niiache ipite salaam zinipate kigoma all stars haijafa but
wahusika kila mtu yuko busy na maambo yake tunahitaji time kufanya
somthn big tena#teamkimugina
0 MAONI YAKO:
Post a Comment