Wema alipost picha hiyo kwenye mtandao wa Instagram huku akisema kuwa amesheherekea sikukuu ya Eid El Fitri na wazazi wake, huku baadhi ya mashabiki wake wakimpongeza kwa kuweka picha ya baba yake hadharani kwani wengi walikuwa hawamfahamu kama wanavyomfahamu mama yake.
''Wema leo kamuweka hadharani baba yake, ukweli wengi tulikuwa hatumfahamu hongera sana'' alisema mmoja wa shabiki wake.
Alifunga kwani
ReplyDelete