Hii imetokea huko Mkoani Dodoma ambao watoto walifungishwa ndoa, huku familia zao zikifurahi na kula pilau.
Unaweza
usiamini, lakini kipindi cha Wanawake Live kilishuhudia LIVE kwa
kuhudhuria na kufanya udadisi wa kina kwa familia, viongozi wa serikali
na wanandoa wenyewe wachanga.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment