
Msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva,Juma Nature akiwa amepozi na mwanadada Linah Sanga


Michuzi wa michuzijr.blogspot.com ,Mtangazaji
wa Clouds Fm kupitia kipindi cha XXL B Dozen na Mzaramo wa
Maneromango,Mr Misifa na mengineyo a.k.a Dullysykes wakiwa wametulia tuu
ndani nje ya kiota walichofikia jijini Tanga kwa ajili ya Serengeti Fiesta 2013 Itakayofanyika kesho katika viwanja vya Mkwakwani

Tabasamu la kitanga TOKA KWA MICHUZI mmeliona wadau.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment