Mtayarishaji nguli wa muziki hapa Nchini man Walter, amemaliza tofauti zake na msanii mwenye record ya juu ya kili Music award Star wa Kili 20%
Akizungumza na Bomba fm ya jijini Mbeya Walter amesema wamemaliza tofauti zao na kuaidi kumrudisha 20 kwa kasi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment