Kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano
kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa.
siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa na kula
aafu tukaagana. mkononi alikuwa na simu ya kama laki 5 hivi. Siku tatu
baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia
kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili
apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani
anapotafuta nyingine. Cha ajabu ananambia anataka kama ile ile hivyo
nimwongezee laki 2 nyingine ataongeza! Nikacheka kimya kimya huku
nikishangilia kusave 50 yangu! Jamani mishahara yeti ina bajeti yake na
so kwa ajili deny! na wengine tunataka kuwa na watu wa kudumu
nao,mnatutisha na hizo harakati zenu za usakaji was hela! Tipelekane
taratibu jamani, looh!
Clouds media wamtembelea Chid Benzi Bagamoyo
Wanafamilia wa #CloudsMediaGroup kutoka katika vipindi vya #PowerBreakFast #Clouds360 na #Harakati
wametembelea kituo cha Life &hope Rehabilitation centre "Bagamoyo"
mahali ambapo Rapa Chidy Benz anapa…Read More
Ajali ya Lori Yaua watu 7 na Kujeruhi 10
WATU
saba wamekufa na wengine 10 k u j e r u h i w a baada ya gari
walilokuwa wanasafiri nalo aina ya Mitsubishi Fuso kupasuka tairi la
mbele na kugonga kingo za barabara katika barabara kuu ya
Igunga-Sin…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment