Unamkumbuka msanii wa Bongo Fleva
aliyewahi kutamba na kibao chake cha Maria? (Ft. Mr Blue). Huyu ni Abby
Skills ambaye amekutwa na mpiga picha wetu eneo la Miembe Saba, Kibaha
akiwa na familia yake, huyo ni mkewe na mtoto wake. Mkewe ndiye Maria
aliyemuimba katika wimbo huo. Ni wasanii wachache sana wa Bongo fleva
ambao hutunga na kuimba nyimbo za wapenzi wao kwa dhati na hata kufikia
hatua ya kuzaa na kuishi pamoja.
Abby Skills akiwa katika pozi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment