December 01, 2013

  
 MWANAUME anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 70 ambaye anasadikiwa kuwa ni mchawi, Jumatano alikutwa pembeni ya Mto Okrudu eneo la Kaimebre, sehemu ambayo ni karibu na soko jipya la Kasoa kwenye jiji hilo lililopo katikati mwa nchi ya Ghana.
Jamaa huyo, ambaye alisema kuwa anaitwa Charles Atta, alionekana akiwa hoi huku matiti yakionekana kama ya msichana mdogo.
Mwili wake ulikuwa umetapaka michanga na matope kutoka kwenye mto huo pembeni na alipokutwa, inaaminika jamaa huyo alianguka toka kwenye ungo akiwa kwenye safari zake.
Ndugu wawili ambao ni mtu na kaka yake Liberty Obeng na Innocent Obeng, walisema kuwa walisikia sauti ya ya mtu wasiyemfhamu akilia kutaka msaada.
Kwa mujibu wake, anasema yeye na wenzake walikuwa wanapaa kwenye usawa wa Kanisa ambao unalindwa na Malaika usiku kucha na ndipo alipojikuta ameanguka kwenye eneo hilo la Shule ya Kimataifa ya Watumishi wa Wafalm

Related Posts:

  • New Audio| King Kapita_ Vizabizabina| Download hapa Mwana muziki mwenye kipaji cha kukidhi haja toka nchini Tanzania King Kapita, amekuletea tena ngoma yake mpya kabisa aliyomshirikisha Cannibal Shaitta toka nchini Kenya wimbo unaitwa vizabizabina, wimbo ambao umefany… Read More
  • lowassa aiteka Tarime Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime kwa Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 10, 2015.… Read More
  • Slaa amfagilia Magufuli, aisifu ACT kupambana na ufisadi Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema anamkubali kwa asilimia 90 mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli akisema anafaa kwa nafasi hiyo kwa kuwa ni jasiri na ana uwezo wa kup… Read More
  • Kilele cha tuzo za AFRIMMA 2015, Tanzania yanga'ara Good news kwa Tanzania… Yes, hii ni kwenye burudani kwa mara nyingine tena, Bongo Fleva ni muziki ambao umefika mbali kutokana na juhudi za watu wengi walioamua kuweka ngumu nyingi kuhakikisha huu muziki unafika kwenye… Read More
  • Leo katika magazeti yetu ya TanzaniaKutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili  Octoba 11, 2015 tumeingia katika chumba cha habari cha TZA kinachomilikiwa na Millard Ayo na  tayari tumeyakusanya Magazeti yote ya leo hii  na stori zake kubwakubwa … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE