Jana nikikua katika mdahalo wa
rasilimali pale ukumbi wa Nkurumah ,waliopewa nafasi ya kuzungumza
katika kungamano lile ,Dr Mengi nea alipewa nafasi,yeye katika kuongea
alikazia swala la watanzania wazawa wapewe nafasi ya kumiliki vitalu vya
gesi ili waweze kunufaika la rasilimali hiyo akitolea mifano nchi kama
NIGERIA na ANGOLA wazawa binafsi walivyopewa nafasi ktk nchi
zao,,ilivyofika nafasi ya prof Muhongo yeye alitonyesha presentation na
twakimu na data zinazoonyesha watanzania wanaomiliki maeneo makubwa ya
uwekezaji,,,katika twakimu hiyo Dr Mengi anashika nafasi ya 3 na
anaukubwa wa eneo ambalo ukubwa wake mara 3 ya dar es salaam,,laini
hamna cha maana anachonufasha watanzania badala ya yeye tu kutajirika
binafsi..baada ya data hizo kutolewa Mengi alikua hana amani pale
alipokaa na alikua anasimamasimama huku akinyosha mkono apewe nafasi ya
kuongea wakati yeye alishaongea,,baada ya mdahalo kuisha dr
Mengi,Mnyika,Tundu lisu,na Mtatiro wakajihisi wapo DEFEATED baada ya ile
nyundo ya Muhongo,,wakaamua kukusanya watu na kuhaidi kua ule mdahalo
utaendelea tena jpili ijayo na utarushwa na ITV ili wajibu ile nyundo
ya MUHONGO..Muhongo alikua anaongea kwa data wakati wao walikua wanaleta maneno matupu tu ndio maana walioloa JASHO jana..
SASA NI RASMI: MARIO BALOTELLI ATUA LIVER
Usajili wa Mario Balotelli kwenda klabu ya Liverpool kutoka AC Milan ya Italia umekamilika rasmi.
Uhamisho wa Balotelli kwenda Liverpool umeigharimu klabu hiyo ya Merseysed kiasi cha £16m.
Balotelli ambaye amerudi Eng…Read More
MAKUBWA: DAKTARI AKUTWA NA MAITI DUKANI
UKANJANJA!
Jeshi la Polisi wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari
anayedaiwa kuwa ni feki, Prosper Samson (pichani) kwa madai ya kumtibu
mgonjwa Jibuli Mahende, mkazi Kijiji cha Iyumbu, Sepuka na
k…Read More
MWENDESHA BODABODA AGONGWA NA KUFA
pikipiki yake haikuumia sana kama inavyonekana pichani
Askari usalama barabarani akisimamisha magari yanayotokea upande wa Dodoma kupisha wenzake kupima eneo hilo la tukio
&nb…Read More
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
-
*1. Wamtaani*
www.wamtaani.com
*2. Wanabidii Blog*
wanabidiiblog.blogspot.com
*3. Watanzania Waishio Nje ya Nchi*
watanzaniaughaibuni.blog...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment