January 27, 2014

   Baada ya umati wa wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kujitokeza wakiwa na mbango na jeneza linalomdhihaki Zitto Kabwe kumpokea Katibu Mkuu wa chama hicho "Dk Wilbroad Slaa" na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) katika viwanja vya Ruanda, Nzovwe jijini Mbeya, Zitto aandika maneno haya kupitia ukurasa wake wa facebook.
"Chuki za kisiasa za kiwango hiki ni hatari sana. Viongozi wakuu kutokukemea mambo kama haya ni ishara ya udhaifu na kukosa busara. Kamwe sitalipa ubaya. Wema kwa ubaya ndio silaha tosha na mungu siku zote yupo na wanyonge. Nimechukizwa. Mola atawasamehe maana hawajui watendalo.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE