
Ni wimbo mpya kabisa toka kwa marehemu Albert Mangwea. Moja ya kazi alizowahi kuzifanya na hazijatoka ni pamoja na hii Brand new "ALMA" akiwa na Mirror, iliyotambulishwa leo hii na mama yake mzazi kupitia xxl
hakika mziki wake utaishi miaka na miaka..R.I.P
0 MAONI YAKO:
Post a Comment