Huu ni ujio wake mpya ambao umekuja na wimbo mpya ambao ameupa jina la KKK,kirefu na maana halisi amesema atakuja kuelezea siku ya kuuachia wimbo rasmi tarehe 10 March 2014 ambayo ni Jumatatu ijayo,hiki ni kipande anachoelezea kwa ufupi.
Bonyeza play kusikiliza kionjo cha wimbo huo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment