Wakati tetesi mtaani zinadai Producer mkongwe Master Jay ana mpango wa
kuandaa mkutano wa waandishi wa habari ili kumtambulisha Mwanadada Shaa
kama mchumba wake, ikiwa ni ya baada ya MJ kushawishiwa na mama yake
mzazi ambaye anafahamu mahusiano ya wawili hao kwa karibu miaka 10 au
zaidi, sasa Gazeti la makorokocho limetonywa juu ya Serengeti boy
aliyemrithi MJ kwa Wife wake Rose Marry,
Bibie Rose Marry
Kwanza kabla sijakuambia kuhusu Serengeti boy K Style, ngoja nikuambie
situation iliyopo kati ya Master Jay, RoseMarry (Wife wake MJ
waliyefunga ndoa ya kanisa) na Shaa, zaidi ya miaka 10 iliyopita Mj na
RoseMarry mahusiano yao yalianza kulega lakini kutokana na ndoa ya
Kanisani haivunjiki kirahisi ikabidi watengane nyumba, Mj akaanzisha
mahusiano na msanii Shaa, Mj akahamia katika nyumba yake nyingine Mbezi
pamoja na Shaa na kumwacha bibie Rose pamoja na watoto wao watatu waishi
Masaki pale ambapo zipo studio za MJ Records ambapo wanaishi mpaka leo
na ndoa hiyo imeshindikana kuvunjika na hawashirikiani kinyumba, back to
the point Serengeti boy wa Rose Marry namwita serengeti boy kwasababu
umri wake ni mdogo, ingawa wataalamu wa mambo wanasema age is nothing
but a number, sasa inasemekana eti Mrithi wa Mj ni msanii wa Bongo Flava
mwenye swagg nyingi anapo Rap na ni mshindi wa shindano la Serengeti
Fiesta 2013 KStyle na wao wanampango wa kujitangaza rasmi, Nilipomuliza
Master Jay kuhusu msanii huyo kumrithi akanijibu "ni vyema unajua tena
binadamu tunatakiwa kuwa wawili wawili"
MAAJABU/ KIJANA ANG'OLEWA MENO 232
Madaktari nchini India wametumia
saa 7 kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai mwenye
umri wa miaka 17 aliyekuwa akipata maumivu ndani ya kinywani .
…Read More
DIWANI WA KATA YA MSHANGANO AJIUZULU
-
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano akionesha barua ya kujiuzulu
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano aliyejiuzulu kupitia Chama Cha
Mapind...
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment