
Sasa leo nataka niseme kitu kimoja kwenu wanaume,
Mwanamke mzuri anahitaji pesa jamani,usitegemee utampata mwanamke mzuri
kwa sasa hivi kama hauna mkwanja mrefu,hilo sahau kabisa,
Vinginevyo utaishia kuwaita mashemeji tu kwa hiyo wakati ukimtamani mdada mrembo ujue hadi unamuona mrembo ni pesa hizo.
Unakuta mkaka unawasiliana nae wiki nzima,unamjib text,akipiga unaongea
nae fresh haha unashindwa kutuma tigo pesa hata elfu 30 useme jiunge
bando?
Wallah mie nasemaje kama huna pesa au hujui kutunza usinisumbue kabisa coz hatutoendana
Unataka meeting na mie hutumi hata laki 1 ya saloon licha ya mafuta ya kukufata inahuuu
Badilikeni basi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment