Una habari
kuwa kuna sababu zilizompelekea diamond kuzidi ku-make headlines siku
hadi siku?, kama ilivyo kwa msanii yeyote yule mwenye mafanikio duniani,
kuna ishu mbili tatu zilizowahi kumtokea katika maisha yake, ambazo
ndio zilimpelekea kumsukuma, pamoja na jitihada za kujituma, kuweza
kumfikisha hadi kwenye mafanikio yake. Kama ulikuwa hujui, basi bila
Diamond kufanya haya, hii leo, hizo tuzo zote, kuanzia ya mtv na kili
zingekuwa bado ni ndoto, na kwa hapa Tzee angekuwa na-hit tu kinyumbani
nyumbani kama ilivyo kwa wasanii wengi wa bongo fleva.
Rumors has it kwamba, bila Diamond kugombana na aliyekuwa manager wake wa zamani, hii leo asingekuwa amefikia hapa alipo, manyanyaso aliyoyapata hapo nyuma, akiwa na uongozi wake wa zamani, ndio iliyomsukuma kufanya vitu kwa bidii na kufikia hadi hii leo, mbali na struggle zake za kila siku katika kujitangaza kimuziki.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment