This sunday.. Divas Wild inakuletea Instagram Party of the year and Club Bilicanas. selfie Night@cindyrulz @cindyrulz Timbulo na @linexsundaymjeda watakuwepo pia Jumapili Saa 3 kamili till the dawn kuwasha moto ndani ya Club Bilicanas Kwenye Instagram Party Selfie Night .. cindy ni best fem emcee Ambae nae ni Supporter Mkubwa sana .... Alice Alieimba Je Utanipenda as well lazima awepo hapo pia

0 MAONI YAKO:
Post a Comment