Flora Mbasha alikuwa na mchumba anaitwa Imma Lushanga Ambae Baba yake ni
Mmiliki wa Mabasi ya Lushanga huko Mwanza kabla hajaja Dar akiwa
amechumbiwa tayari Wiki mbili kabla ya kufunga ndoa Flora akapata safari
ya kwenda UK ambako wenyeji wake walimshauri kwamba kwa uzuri wake
atapata Mume mzungu mwenye pesa kuliko Imma yule wa Mwanza. Ili
kumkimbia Imma Flora na familia yake wakamtengenezea ishu Imma mchumba
wake kwamba ana Ukimwi kwa hiyo Flora hawezi kuolewa naye, Hii Nakumbuka
ilikuwa Stori kubwa Sana Mwanza Kipindi Hicho zaidi ya Miaka kama Kumi
na nne iliyopita mpaka leo Imma hajawahi kuoa tena na wala hana hamu
CHANGAMOTO HIYO YA MUME WANGU ILIANZA BAADA YA KUJIFUNGUA...!
-
Jina langu Salma, ni mama wa familia na niliolewa miaka mitano iliyopita,
hakika maisha ya ndoa mwanzo yalikuwa matamu, ninaposema matumu nafikiri
wakubw...
35 minutes ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment