Na RFI
Wapiganaji wa kundi la Al-Shabab nchini Somalia.
REUTERS/Feisal Omar
Kundi la wanamgambo wa Al-Shabab nchini Somalia limekiri
kuhusika na mfululizo wa mashambilizi ya mabomu kwenye mji mkuu
Mogadishu na kuonya kuwa litaendelea na mashambulizi haya hata wakati
huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment