Aliyekuwa
kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akiwa mzoezini na klabu
bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex,
Chamazi, Dar es Salaam.
RAIS KIKWETE TAJWAWA KUWA KIONGOZI BORA AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye
Mchango Mkubwa Zaidi katika Maendeleo Barani Afrika kwa mwaka 2013 .
Heshima hiyo kwa Rais Kikwete imetolewa
n…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment