July 21, 2014

 
Keki yenye kuonyesha kazi azifanyazo Dk Cheni.

 
Mdau wa sanaa, Mama Lolaa akilishwa keki  na Dk Cheni.
 
Dk Cheni akimlisha keki mtoto wake.
 
Msanii wa vichekesho  Hemedi Maliyaga  ‘Mkwere’ akiimbisha wimbo wa ‘Happy Birth Day’.
 
Msanii wa filamu, Lulu,  akichukua chakula.  
Mke wa Dk Cheni (katikati) akiwa na ndugu, jamaa na watoto wake wawili.  
Mwigizaji Vincent Kigosi ‘’Ray’’ akitoa zawadi kwa Dk Cheni.
 
Wasanii, Dayana, Esher, Wastara  wakiwa na mdau wa sanaa ambaye jina lake halikupatikana.  
Dk Cheni, na ‘crew’ yake, wasanii na waandishi wa habari.  
Mwigizaji  wa sinama Jacob Steven ‘JB’ akiwa na mashabiki wake.  
Hawa ni wasanii wa kundi la Makomandoo.

 
Emmanuel Mbasha pia alikuwepo kwenye sherehe hiyo.  
Msanii wa filamu,  Shamsa Ford, akiwa kwenye pozi kwenye hafla hiyo.  
Mwandishi wa Global Publishers, Shakoor Jongo, akiwa na Dk Cheni.  Pembeni ni shabiki mmoja wa wageni waalikwa.  
Mwigizaji filamu, Lulu, na Cheni wakiwa katika pozi.
Gabriel Ng’osha WASANII kibao wamejitokeza kumsapoti msanii ambaye pia ni mshereheshaji (MC) wa kundi la watanashati, Dk Cheni katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Sherehe hiyo ya kuzaliwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ngorongoro uliopo hoteli  ya Lamada, Ilala jijini Dar es Salaam, ambapo wasanii mbalimbali na wadau wote walipata futari.
Na Musa Mateja, Shani Ramadhani na Shakoor Jongo/GPL

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE