Ni msanii mpya kabisa katika tasnia hii ya muziki wa kizazi kipya, anatokea mkoani Mwanza Tanzania. Ameachia audio ya wimbo wake huu wa Anatamani lakini video yake inakujia hivi karibuni
Lowassa amtaka Magufuli kuwaachia Masheikh wa Uamsho
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA ambaye pia ni waziri mkuu mstaafu Mzee Edward Ngoyai Lowassa amemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ku…Read More
Offical New Video: Ray C - Unanimaliza
Mashabiki wa Ray C, Kimya kukubwa kina mshindo mkuu. Hatimaye mwana dada Ray C Kiuno bila mfupa, ametuletea Video ya wimbo wake unanimaliza. Ipo hapa chini
…Read More
Ujumbe wa sikukuu ya Eid wa rais Erdoğan wa Uturuki
Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan siku ya
Ijumaa ametoa ujumbe maalum wakati huu ambapo waislamu wote duniani
wanasheherekea sikukuu ya Eid Ul Fitri .
Rais Erdoğan amewapongeza waislamu kwa kuumaliza mwezi mtuk…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment