July 21, 2014


diamond 
Wiki iliyopita kupitia mitandao ya kijamii zilitoka stori ambazo zilianzia kwenye 255 ya Clouds Fm ambapo aliulizwa Ally Kiba juu ya uhusiano na msanii mwenzake Diamond Platnumz.
Usiku wa kuamkia July 21 Diamond Platnumz ameandika ujumbe ambao mashabiki wengi wa muziki wa Bongo Fleva wameutafsiri kama majibu juu ya kile alichokisema Ally Kiba wiki iliyopita.
Katika ujumbe huo ambao Diamond kapost kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kaandika
 dimaond

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE