
WANANCHI
wa Kigoma Kusini, wamesema wapo tayari kuunganishwa katika kesi ya
mbunge wao, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), wakidai kuwa sasa kiburi cha
Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inabidi kifike mwisho.
Wakizungumza
kwa nyakati tofauti kwenye mikutano ya hadhara iliyofanyika
Kazuramimba, Basanza na Uvinza, wananchi hao walikataa kuuliza maswali
mengi badala yake wakitaka kuelekezwa utaratibu ili waweze kuunganishwa
kwenye kesi ya mbunge wao.
alisema mwananchi mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Abdallah Luvakubandi, mkazi wa Basanza.
Pamoja
na mkazi huyo kuomba mwongozo huo, wazee kadhaa wa kata za Kazuramimba
na Uvinza nao walionekana kukerwa walipofika katika mikutano ya
Kafulila.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment