
DJ Fetty na B DOZE
Kwa mara ya kwanzawakazi wa Mjini Bukoba wameweza kulishuhudia tamasha kubwa la Burudani Tanzania FIESTA ambala limeanzishwa zaidi ya miaka 10 sasa
MSANII
wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani
katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Bukoba.
Rachel akiendelea kutoa burudani.…

Sebastian Maganga akihojiwa na clouds tv
MSANII
wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani
katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Bukoba.
Rachel akiendelea kutoa burudani.

Wakazi wa BUKOBA nis heeedddahhh
Umati mkubwa wa wana BUKOBA umelipokea kwa shangwe kubwa Tamasha hili ambapo kwa mara ya kwanza limetua katika Ardhi ya Bukoba
DJ Fetty akifanya yake.
Msanii wa muziki wa asili Saida Karoli akiwanyanyua mashabiki wake.
Staa wa Bongo Fleva, Jux akiimba wimbo wake mpya wa Nitasubiri.
Dogo anayekimbiza kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Young Killer akiwaimbisha mashabiki.
Msanii wa Super Nyota 2013, Kessy Style akishambulia jukwaa.
Staa aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake wa Maumivu, Khadija akiangusha shoo yake.
Rais wa Manzese, Madee akikaporomosha mashairi ya ngoma yake mpya ya Ni Sheeda.
Mkali wa ngoma ya Muziki Gani, Nay wa Mitego akiwasikilizia mashabiki wanavyoitikia nyimbo zake.
Staa wa Hip Hop, Stamina akifanya yake jukwaani.

STAMINA kabwela akipagawisha
Msanii wa Bukoba, Shomile naye alipata bahati ya kuamshaamsha burudani.
Jackson Mmbando akiwa katika pozi na Madee (kushoto).
(PICHA NA MUSA MATEJA/GPL, BUKOBA)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment