August 11, 2014

Baada ya Mwanza kukata utepe wa Serengeti fiesta ya mwaka huu kwa siku ya jumamosi. harakati za kusambaza upendo sasa zinahamia bukoba kwa siku ya ijumaa hii ya tarehe 15 mwezi huu, na kahama ambapo itakuwa siku ya jumapili ya tarehe 17 mwezi huu. sasa nikupe mchongo wa mastaa wako utakaoweza kuwashuhudia; Ommy Dimpoz,
Young Killer,
Barnaba,
Madee,
Jux,
Ney wa Mitego,
Stamina,
Mr. Blue,
Recho,
Linah,
Super Nyota,
Khadija wa Maumivu na
BK sunday. kumbuka, shangwe hili lote utaweza kulifaidi kwa kiingilio cha shilingi 5000 tu itakayokupa nafasi wewe mkazi wa Bukoba kupenya ndani ya Kaitaba Stadium na kwa wewe mkazi wa Kahama kujichanganya kahama stadium sehemu pekee ambapo historia ya fiesta ya kwanza itaandikiwa.
SERENGETI FIESTA 2014 SAMBAZA UPENDO.......NI SHEEEEEDAH!!

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE