August 15, 2014

 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mwanamuzki R.O.M.A aliwahi kuahidi kwamba ndani ya kombe la Dunia , Kama Brazil itafungwa na Ujerumani basi yeye angeamia Sharobaro Record. Hatimaye ahadi imetimia na hii ndiyo ngoma mpya ya Roma aliyoifanya na Bob Jr chini ya Sharobaro Records

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE