August 19, 2014

 
Ni mkali wa siku nyingi sana katika game hii, alifanya hit song kamaa Ni check, Sifa kumi za dem na voice mail. Aliwahi kuingia katika bif kubwa sana na mfalme wa Rhymes Tanzania Afande Sele. Amerudi tena na hii ndiyo ngom ayake mpya anakwambia waambia. Uwaambie kina nanI
DOWNLOAD HAPA

Related Posts:

  • NEW AUDIO/ BIO ft MR BLUE - NISEME  Kama unaikumbuka analamika, Bibi, kaniulizia na baadhi ngoma toka kwakE. Anaitwa BIO hapa kamshirikisha MR:BLUE mzigo unaitwa Niseme. SKILIZA KISHA WAWEZA KU SHARE … Read More
  • MUNTALA TALA VENCHA, HAPPY BIRTHDAY 2 U MY BROTHER    Muntala Tala v, tala talent, tala presdent, Tala Vencha Rais wa Msasani, ni mmoja ya wadau wa media niliotokea kuwakubali sana , kutokana na tabia yake ya kujali kila aina ya mtu. Jamaa tumekuwa tukishauliana … Read More
  • MAAJABU YA NAY WA MITEGO, AJIPA ZAWADI YA GARI Jana ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mwanamuziki Ney wa Mitego na aliamua kufanya sherehe kwa mara ya kwanza kusherehekea siku hiyo kwa vile huu ndio mwaka wake wa kwanza kuwa na mafanikio katika muziki , Ney alian… Read More
  • MUME WA FLORA MBASHA ALIA NA MCHUNGAJI GWAJIMA Na Makongoro Going’ MUME wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha anayedaiwa kumbaka binti wa miaka 17 (jina lipo), Emmanuel Mbasha ameibuka mzimamzima na kumtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo … Read More
  • NANDO: NIPO TAYARI KUMUOA LULU Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa (the chase) 2013, Amir Nando ameweka wazi kuwa hajawai kuwa na uhusiano ya kimapenzi na mwanadada wa filamu, Elizabeth Micheal aka Lulu, lakini anakubali sana. Akiz… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE