January 16, 2015

Mama mzazi aliyetajwa kwa jina la Feromena, mkazi wa Meko-Mtongani, Kunduchi jijini Dar, anatuhumiwa kumcharanga viwembe mwanaye wa kumzaa aliyetajwa kwa jina moja la Zena mwenye umri wa miaka kumi Kwa upande wake mama huyo alipoulizwa sababu hasa ya kumsulubu mwanaye alisema si kweli bali anachojua ni siku moja aliyompiga baada ya kuchukua fedha zake na kwenda kununulia maandazi. ila hajui mtu aliyemkata kata viwembe mwanaye.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE