Mwanamuziki raia wa Uingereza Sam Smith ameshinda tuzo mbili za Grammys zilizofanyika Los Angles Marekani.
Smith ametangazwa mshindi wa kwanza ambapo kupitia wimbo wake wa In The Lonely Hour ulimfanya aibuke mshinndi wa miondoko ya Pop Vocal Album.
Smith alikuwa mmoja wa wanamuziki walikuwemo katika orodha ya kuwania tuzo hizo.Shairi lake la Stay With Me lilimfanya mwanamuziki huyo kuibuka mshindi wa kimataifa mwakajana.
Beyonce na Pharrell Williams ni miongoni mwa wanamuziki wengine waliokuwa wameteuliwa kuwania tuzo hizo kwa kigezo namba sita.
Hta hivyo Pharrell Williams yeye aliibuka mshindi wa maonesho ya miondoko ya Pop Solo Performance kwa kibao chake Happy, Beyonce naye akajinyakulia ushindi wa R&B kupitia kibao Drunk In Love ambao alimshirikisha mume wake Jay Z.
February 08, 2015
11:52 PM
Machaku
No comments
Related Posts:
Nay wamtego ametuletea video yake mpya ya sina muda. Hii hapa Mwanmuziki nguli wa bongo flva Tanzania Nay wamitego, leo hii ametuletea video ya wimbo wake mpya wa Sina Muda. Mitazamo ya Nay imekwenda tofauti kabisa na wadau wake na mashabiki kwani wengi walitaraji kuona video … Read More
PICHA/ Tunaomba radhi kwa picha hizi. Majambazi wavamia kituo na kufanya mauaji kwa raia na Polisi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa habari leo katika kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam, kutokana na Askari wa Jeshi la Polisi na raia wa eneo hilo kuuwawa na majamb… Read More
Audi/ Hii ya Kenny Kennie na Peter Msechu I don't give up, kama hujaiskia. Nimekuwekea hapa Baa da kufanyapoa sana na ngoma zake za One $ Only na yanayonisibu, hatimaye mwanamuziki wa R & B toak mkoani Morogoro Kenny Kennie amekuletea ngoma yake hii mpya kabisa aliyomshirikisha Peter Msechu. Si… Read More
Mesen Selekta amekuja na sweet love. Hii hapa Baada ya kufanya poa sana na Kanya boya na saresare, hatimaye Producer na muimbaji wamuziki wa Bongo Fleva Mesen Selekta amekuletea ngoma yake mpya kabisa. inaitwa Sweet love Tazama hapa chini … Read More
Dayna Nyange:Juhudi bila ya Wadau ngumu kutoboa nje Mwanamuziki Dayna Nyange ametoa mtazamo wake wa namna gani wasanii wa nyumbani watawezakuvuka mipaka ya nje ya nchi Alipokuwa anafanyiwa mahojiano na mwandishi wa habari hii Dayna alifunguka kwamba ili wasanii waw… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment