Katika mahojiano na Priscilla Lecomte, Nyanduga ameanza kwa kulaani vikali mashambulizi yaliyotokea siku chache zilizopita dhidi ya Yohana Bahati, mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja aliyeteswa na kuuawa kwa msingi wa ulemavu wake wa ngozi.
KATAMBI AKEMEA WATUMISHI WA SERIKALI KUPANDISHA MABEGA
-
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
MBUNGE wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi,ambaye pia ni Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi,Vija...
57 minutes ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment