June 06, 2015

 
Katibu mkuu waChama cha mapinduzi- CCM    Abdulrahman Kinana, ametoa angalizo kwa wananchi juu ya wagombea wanaojitokeza kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais kupitia chama hicho. M: Kinana ambaye ndiye katibu mkuu wa chama hicho, ameyasema hayo mjini Dodoma akiwa safarini kuelekea mkoani Kagera kwa shughuli za kikazi. Amesema watanzania wataka kongozi atakayewafaa na mwenye sifa ambazo watanzania wanaozitaka na siyo wanaojivika sifa wenyewe.


         

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE